Yohana 1:18
Print
Hakuna aliyewahi kumwona Mungu isipokuwa Mwana peke yake, ambaye yeye mwenyewe ni Mungu, ametuonesha jinsi Mungu alivyo. Yuko karibu sana na Baba kiasi kwamba tunapomwona, tumemwona Mungu.
Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote. Lakini Mwanae pekee, ambaye ana uhusiano wa karibu sana na Baba yake, amemdhihirisha Mungu kwetu.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) Copyright © 2017 by Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica